Zinazobamba

WATOTO WAZIDI LILIWA SHIRIKA LA 'THE SAVE CHILDREN LASEMA NENO,SOMA HAPA KUJUA

1
Pichani ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano,
 wa Shirika lisilokuwa na kiserikali la
(The save Children)Be Ellen Okoedian
picha na maktaba

SHIRIKA lisilokuwa la Kiserikali linaloshughulika na Watoto nchi (The save Children)limesema bado mtoto wa Kitanzania bado akambana na Changamoto mbalimbali ambayo yanatajawa kumrudisha nyuma kimaendeleo.Anaandika KAROLI VINSENT endelea nayo.
           Hayo yamebainishwa leo Jijini Dar es Salaam na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Shirika hilo Be Ellen Okoedian wakati wa Semina iliyokuwatanisha baraza la watoto kutoka wilaya saba nchini yenye lengo ya kuwajengea uwezo wa kufanya kazi kwa kujiamini ambapo amesema bado watoto nchini wanakumbana na changomoto mbalimbali ikiwemo-
          Ukosefu wa nauli pindi waendapo shuleni,adhabu kali zinatolewa mashuleni pamoja na kuwepo sheria kandamizi zidi ya watoto.
           Amebainisha kuwa iwapo watoto wa kitanzania watajengewa mazingira mazuri itawasaidia kufanya kazi kwa kujiamini na kuondokana na kasumba ya kutegemea ndugu jambo ambalo adai kuwa litachangia kurudisha nyuma maendeleo ya mtoto katika Nyanja mbalimbali ikiwemo upatikanaji mtoto.

    Aidha,Be Okaediani amesema kuwa suala la elimu limekuwa tatizo kwa mtoto wa kitanzani katika kufikia malengo yao ambapo na ameitaka Serikali nchini kuboresha sheria ili ziwape watoto bnafasi ya kumiliki haki ya za msingi kuriko sheria bza sasa ambazo anadai zimekuwa kikwazo katika jamii.

No comments