WACHIMBAJI WA MADINI WAKUMBUKWA,POLICY FORUM YAJIPANGA,SOMA HAPA KUJUA
Pichani ni Makamu wa Rais wa anayeshughulika Uhusiano na utengamano kutoka Mgodi wa Geita,Bwana Saimon Shayo,Akizungumza na Waandishi wa Habari, leo Jijini Dar es Salaam |
IMEELEZWA
kuwa wachimbaji wa madini wanakumbana na Changamoto kubwa ikiwemo tatizo la
mazingira na tatizo la uwelewa juu ya Ufanyaji kazi ambao unawarudisha kufikia
malengo yao.
Hayo yameelezwa mda huu Jijini Dar
es Salaam na Mratibu mtandao wa kiraia unaoshughulikia utawala bora (policy Forum) Bwana Semtaye Kilonzo wakati wa mkutano
uliwahsirikisha wadau mbalimbali wa masuala ya madini ambapo amesema tatizo
kubwa wanalokumbana nalo wachimbaji wadogo ni hali ya mazingira kutokana na
wachimbaji wachimbaji hao ambao wameshindwa kufikia Malengo na dhumuni kubwa la
mtandao huo ni kutoa elimu kwa wachimbaji wa dogo kwa kutumia mijadala
mbalimbali yenye nia ya kuboresha sekta
nzima ya madini.
Kwa upande wake Makamu wa Rais wa
anayeshughulika Uhusiano na utengamano kutoka Mgodi wa Geita,Bwana Saimon
Shayo, amesema dhumuni kubwa la mgodi wake ni kuwawekea mazingira mazuri
wachimbaji wadogo wa wadogo ili kufikia katika tija ya kazi zao.
Mbali na wachimbaji hao wadogo pia Rais huyo h Amesema nia yao ni kuwaekea
mazingira mazuri hata wakazi wanao ishi karibu na migodi hiyo kuwaekea
mazingira yenye tija ili wapendelee uwepo wa kazi hizo za migodi
Hakuna maoni
Chapisha Maoni