MWIGAMBA ATINGA GAZETI LA TANZANIA DAIMA,AWAMWAGIA SIFA WAHARIRI WAKE SOMA HAPA KUJUA
Pichani wa kwanza kushoto ni Mhariri wa Gazeti la Tanzania Daima la Jumatano Edsoni Kamukara,akicheka na Katibu wa Act Tanzana Samsoni mwigamba,anayefua kulia ni Salehe Muhamedi ambaye nae ni Mhariri wa gazeti la Jumapili la Tanzania Daima,nyuma yake ni Aliyekuwa Mhariri wa Habari za Mikoani wa Gazeti hilo Martni Marela,aliye nyuma ya Mwigamba ni Khamis mwandishi wa habari wa kawaida wa gazeti hilo picha na mpiga picha wetu |
Viongozi wa Chama cha Kipya cha Siasa nchini ACT-Tanzania wakiongozwa na Samsoni Mwigamba wakiwajadili jambo na Wahariri wa Gazeti la Tanzania Daima,alipotembelea ofisi za gazeti hilo zilizopo posta jijini Dar es salaam,picha na Mpiga picha wetuHuu ni mwendelezo wa Mwigamba kutembelea vyombo mbalimbali vya habari baada ya kuanza wiki iliyopita kulitembelea Gazeti la Raia mwema na Raia Tanzania na jana akalitembelea Gazeti la Jambo leo |
Hakuna maoni
Chapisha Maoni