MBUNGE NASSAR AZIDI BORESHA MIRADI JIMBONI KWAKE SOMA HAPA KUJUA
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassar akitia saini katika kitabu cha wageni katika ofisi ya kata ya Siela Sing'isi alipotembelea katika kijiji hicho cha Sing'isi. |
Wananchi wa vijiji vya Sing'isi na Malala wakitizama sehemu ya eneo la Shamba la Madiira lililotolewa kwa wananchi wa vijiji hivyo. |
Wananchi wakiwa katika Shamba la Madiira kutizama mipaka ya eneo ambalo limetolewa kwao. |
Sehemu ya Shamba la Madiira. |
Mbunge Nassari akiwaongoza wananchi wa vijiji vya Sing'isi na Madiira wakitembelea shamaba la Madiira kutizama mipaka ya eneo la Hekari 92 lililotolewa kwao. |
Wananchi wakiwa katika kikao cha pamoja. |
Na Dixon Busagaga wa Globu
ya Jamii Kanda ya Kaskazini
Hakuna maoni
Chapisha Maoni