BREEKING NEWS,MABOMU YATAWALA MBAGALA,PROFESA LIPUMBA AKAMATWA,NI MAANDAMO YA CUF SOMA HAPA KUJUA
HABARI
zilizotufikia mda huu zinasema Jeshi la Polisi Mkoani Dar es Salaam limetumia
nguvu kwa kurusha mabomu ya machozi ili kuwatawanya wananchama cha Wananchi CUF waliokuwa kwenye maandamo wilaya ya
Temeke .
Na
kufanikiwa kuwatia nguvuni viongozi waandamizi wa chama cha Wananchi
CUF,wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Profesa Ibrahimu Lipumba,huku
wananchi wa maeneo hayo wakiishi kwa hofu kubwa sana.
Akithibitisha
kukamatwa viongozi hao pamoja na kuvunjwa kwa maandamano .Afisa Habari wa
chama cha Cuf ,Bwana Silas alipoongea na
mtandao huu mda huu ambapo amesema waalianza maandamano ya Amani katika Viwanja
vya temeke na kwenda mbagala , ambapo maandamano hayo yaliokuwa na lengo la kumbukumbu ya mauaji ya wanachama wao yaliofanyika TAREHE 26 januari mwaka 2001 huko Zanzibari na Tanzania Bara,
Bwana Silas alisema wakati wapo kwenye
maandamo hayo walipofika maeneo ya Mtongani iliyopo wilaya ya Temeke ndipo
Jeshi la polisi likafika na kurusha mabomu na kuwapiga wanachama wa chama hicho
na kufanikiwa kuwakamata viongozi wa chama hicho,na kuwapeleke kituo kikuu cha
polisi.kwa madai maandamano hayo hayana ruhusa.
ENDELEA
KUFUATALIA BLOGS HII UTAPATA HABARI KAMILI
Maoni 1
SIJFURAHISHWA HATA KIDOGO NA KUMTAJA LIPUMBA PEKE YAKE BILA WALE RAIA WALIOKUWA WANAKAMATWA NA KUPIGWA OVYO WAKATI LIPUMBA HAKUPIGWA KABISAMAANDAMANO YALE!>>>TUWATENDEE HAKI NA WALE WALIOPIGWA>>>>>WANASTAHILI KUPEWA MSAADA WA KISHERIA KUSHITAKI NA KULIPWA HAKI ZAO!
Chapisha Maoni