WAZIRI MEMBE AJIWEKA FITI KIAFYA-SOMA HAPA KUJUA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mh Bernad Membe akikimbia katika mazoezi ya JOGGING,yaliyofanyika leo jijini Dar,katika mazoezi hayo Mh. Membe alifanikiwa kukimbia kilometa nane na ushehe,zilizokuwa zimepangwa.Aidha Jogging hiyo ilishirikisha club za Jogging 83 kutoka mkoa mzima wa jiji la Dar.Jogging hiyo iliandaliwa na club ya Jogging ya Mikocheni.Pichani kwa Waziri Membe ni Meya wa Manispaa ya Kinondoni,Mh.Yusufu Mwenda
Pichani juu ni baadhi ya vikundi mbalimbali wakishiriki Jogging hiyo mapema leo jijini Dar.
Hakuna maoni
Chapisha Maoni