Zinazobamba

KIBWANA DACHI AGUSWA NA FULLHABARI.BLOG KWA KAZI KUBWA INAYOFANYA,AMWAGIA SIFA MWANDISHI WAKE,SOMA HAPA KUJUA

Pichani wa Kwanza aliyevaa miwani ni Kibwana Dachi ambaye ni Mchambuzi na Mwandishi Mwandimizi wa Chanel Ten pamoja na Magic Fm akimpa Pongezi  Mwandishi wa Mtandao huu Karoli Vinsent  aliye Kuria huku  kwa kazi kubwa anayofanya ya kuleta Mapinduzi ya Upashanaji Habari wa Mtandaoni nchini naye akimsikilza kwa hekima,


Hakuna maoni