BREEKING NEWS, MPITA NJIA APIGWA RISASI HUKO MOROCCO NA MAJAMBAZI ,YALILENGA KUMZIBA MDOMO
Kama lisaa limoja lililopita hivi huko Morocco karibu na ofisi za Airtel TZ, MPITA NJIA MMOJA AMEPIGWA SHABA NI MAJAMBAZI WALIOKUWA WAKITAKA KUMUIBIA dada mwingine baada ya kubainika kuwa alikuwa anaongea na simu,
habari ambazo zimetufikia hivi punde ni kwamba dada huyo ambaye alizaniwa kuwa amefariki baada ya kupiga hiyo shaba, majambazi waliendelea na wizi wao na kufanikiwa kukimbia na fedha za mdada mwingine aliyekuwa anafuatiliwa kutoka mlimani city
Habari zinasema kuwa majambazi walizani kuwa mdada huyo amekufa Kumbe huyu dada hakufa.Inadaiwa kuwa Risasi ilimpalaza upande wa kulia. Walimshoot
baada ya kuonekana anaongea na simu
WAtu waliokutwa katika eneo la tukio wanasema kuwa mtu huyo alishitukia tu kitu kimetua katika upande wake wa kulia wa bega lake na baada ya hapo akapoteza fahamu na ndipo wezi hao wakatimua mbio na bodaboda ambzo walizitumia kufanya uharifu huo
Hakika kifo ni popote, alitoka kwake mzima lakini muda si mwingi alitakiwa kubadilishwajina kwa kuita marehemu sababu tu ya watu wachache wenye nia ya kutajirika,
Watafiti wa mambo wanasema, majambazi yaliamua kumpiga risaji binti huyo wakizani kuwa dada huyo alitaka kuwasiliana na jeshi la polisi katika tukio hilo.
Na haya chini ni maoni ya wadau kuhusu tukio hilo
- upumbavu wa majambazi wa kibongo ni huo kuua raia,pia ni waoga kinyama hawaendi masaki,mgombea atayekuja na ahadi ya street camera ntampa kura yangu kwani zitasaidia kuwatia nguvuni wahalifu
- Inasikitisha sana kuoma hali kama hii binadamu wasio ma hatia wanapoteza maisha then unasikia watu wanaojiita wapigania haki za binadamu wanaopewa fedha ma wafadhili wanatuambia hukumu ya kifo iondolewe
- mimi ningekuwa bilionea kama kina mengi basi ningefadhili hii sheria iludishwe.mbona china wanaadabu tu?baada ya kuwekwa hiyo sheria ya kunyongwa?.hili tukio linamuhusu ndugu yangu,yeye ndio walipanga kumpiga ambaye alikoswa likampata huyu dada.inauma sana dada wa watu jamani.Hii dunia ikiendelea hivi basi sheria mkononi irudi tu maana wameshindwa kuweka haki....maandiko matakatifu yote yameruhusu kuwaangamiza wauaji.
- Dah! Kwa mambo kama haya ndio najikuta naamini kwamba Kuwa Mtanzania ni
shida sana, yaani hawa wahuni wanaenda kupora kwenye M-Pesa na kuua watu
halafu wanafanikiwa kuondoka wakiwa salama? Yako wapi mafunzo ya Jeshi
la Polisi, waliokaa CCP Moshi kwa miezi sita kwa kodi za wananchi?
Uko wapi ujasiri wa Polisi wanaopandishana vyeo kila kukicha? Wahuni wanaua wananchi mchana kabisa na bado mnasema hii ni nchi ya amani? Imekuwa polisi ya maneno mengi tu na vitendo vifupi. Yaani nimejisikia vibaya mno kwa kifo cha huyu mama ambaye alikuwa akipita njia tu na zake. (RIP)
Ova
Hakuna maoni
Chapisha Maoni