Zinazobamba

BREAKING NEWSZ--MBUNGE WA CCM ARUSHIANA RISASI NA MWANAE SOMA HAPO


Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa ccm mkoa wa Morogoro bw. Jonas Nkya
Dk. Lucy Nkya

Naibu Waziri wa zamani wa Afya na mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Lucy Nkya, amerushiana risasi za moto na mwanae wa kumzaa, Jonas Nkya ndani ya ofisi zao mkoani Morogoro muda huu.

Chanzo kinadaiwa kuwa ni "Mzozo wa Kifamilia"

ENDELEA kutembelea mtandao huu utapata habari kamili 

Hakuna maoni