Zinazobamba

WALICHOKISEMA TRA JUU YA MASHINEZA EFDs

Kaimu mkurugenzi wa elimu kwa mlipa kodi akifafanua jambo kwa waandishi wa habari juu ya uvumi unaosambaa kwa kasi kuwa mashine za Efds zimesitishwa matumizi yake, Mkurugenzi huyo amesema mashine Efds zipo kisheria na kwamba wanaoeneza uvumi wa kusitisha matumizi yake ni waongo wasiolitakia mema taifa.
Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakimsikiliza, kaimu mkurugenzi wa elimu kwa mlipa kodi wa TRA akifafanua juu ya mashine za Efds, Mkurugenzi huyo amekanusha vikali juu ya tetesi za kutotumika kwa mashine hizo kama inavyoenezwa na watu wasiopenda kulipa kodi
Nafafanua, Mkurugenzi huyo aliambatana na afisa habari wa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA), Bi. Oliver Njunwa wakitoa kanusho hilo la kusitishwa kwa matumizi ya mashine za efds, wamesema kwa yeyote atakaekaidi tangazo hili basi hatua za kisheria zitachukuliwa,

Waandihsi waandamizi wakiwa makini katika kamera ya fullhabari,waandishi hao walikuwa makini sana katika kuchukua taarifa zao tayari kwa kuwaambia umma juu ya matumizi ya mashine za Efds

Hakuna maoni