BAKHRESA KUGOMBEA UENYEKITI SIMBA SC
MDAU
wa soka, Yussuf Bakhresa amejitolea kugombea Uenyekiti wa Simba SC
katika uchaguzi ujao. Yussuf, mkazi wa Gongolamboto, Dar es Salaam,
amechukua fomu za kugombea nafasi hiyo leo makao makuu ya jeshi la
Polisi na amesema anataka kuifanya klabu hiyo iwe maarufu nchini. Lakini
amesema atarejesha fomu hizo iwapo tu atajitokeza mwanachama mwingine
kuomba nafasi hiyo. 1st April, 2014.
Bin Zubeir
Bin Zubeir
Hakuna maoni
Chapisha Maoni