Zinazobamba

KAMISHNA WA SHERIA NA UENDESHAJI WA MAGEREZA AFANYA ZIARA YA KIKAZI MAGEREZA MKOA WA MANYARA

00000 1e6d3
Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akisalimiana na baadhi ya Maafisa wa Jeshi la Magereza toka Magereza mbalimbali ya Mkoani Manyara mapema leo Desemba 21, 2013 alipowasili katika Ofisi za Magereza Mkoa wa Manyara tayari kwa ziara ya Kikazi ya siku mbili
00 3ec64
Mkuu wa Magereza Mkoa wa Manyara, Kamishna Msaidizi wa Magereza, Bether Minde akiwa ameongozana na Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa(kushoto)
wakati wa kutembelea baadhi ya maeneo mbalimbali ya Gereza la Mahabusu la Babati

000 829fc
Baadhi ya Askari wa Jeshi la Magereza toka Vituo mbalimbali vya Magereza Mkoa wa Manyara wakimsikiliza Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa(hayupo pichani) wakati Baraza Maalum la Askari lililofanyika katika Ukumbi wa Bwalo Kuu la Magereza, Mkoani Manyara leo Desemba 21, 2013
0000 887bf
.Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa(wa pili kushoto) akiongea na baadhi ya Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza wa Mkoani Manyara(hawapo pichani) leo Desemba 21, 2013. Watatu toka kulia ni Mkuu wa Magereza Mkoa wa Manyara, Kamishna Msaidizi wa Magereza, Bether Minde.(HD)

No comments