Zinazobamba

RAGI SAMWEL AJITOSA KUMRITHI JERRY SLAA UKONGA

Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM ambaye amewahi kuwa Rais wa Wanafunzi Chuo kikuu Cha kimataifa Cha Kampala nchini Tanzania mwaka 2018/20 Mfamasia Ragi Samwel amechukua fomu kugombea Jimbo la Ukonga 

Kada huyo amekabidhiwa fomu hiyo leo June 30,2025 na Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala Sylvester Yaredi katika Ofisi ya CCM wilaya ya Ilala.



No comments