Zinazobamba

KADA MTIIFU WA CCM MASELE MASUNGA ACHUKUA FOMU KUGOMBEA JIMBO LA SEGEREA

Kada wa Chama Cha Mapinduzi Masele Masunga amechukua fomu kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Segerea. 

Masunga amekabidhiwa fomu hiyo Juni 30,2025 na Katibu CCM Wilaya ya Ilala Sylvester Yared. 

Amesema kuwa amepata msukumo kutoka kwa Wananchi wa Jimbo hilo ambapo wamemuomba kugombea kwa madai kuwa bado kuna mambo yanatakiwa kuongezewa nguvu ili kuwaletea maendeleo wananchi.

Amesema kuwa Kuna matatizo mbalimbali yanayoilikabili Jimbo hilo ikiwemo ukosefu wa ajira kwa Vijana,pamoja na miundombinu ya Barabara.

No comments