TAMASHA LA TIGO FIESTA LAKUSANYA MAELFU YA WAKAZI WA SUMBAWANGA
|
Mashabiki wakiimba pamoja na Aslay. |
Msanii Barnaba akiwa jukwaani kwenye Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga usiku wa kuamkia jumapili. |
Benpol akitumbuiza wakazi wa Sumbawanga jukwaani kwenye Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga usiku wa kuamkia jumapili |
Wasanii Chege na Aslay wakiwa jukwaani wakiimba pamoja kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga usiku wa kuamkia jumapili
|
Mimi Mars naye aliburudisha maelfu ya wakazi wa Sumbawanga usiku wa kuamkia jumapili katika tamasha la Tigo Fiesta. |
|