Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, ndugu Zitto Kabwe amekamatwa na Polisi muda huu uwanj a wa ndege wa JNIA, Dar es salaam wakati akitoka Kigoma.
Kwamujibu wa Afisa habari wa chama hicho Abdallah Khamisi amesema Kwa sasa wanasheria wa chama wanafuatilia kujua sababu za kukamatwa kwake