TAMASHA LA TIGO FIESTA LATIKISA JIJI LA MWANZA JUMAMOSI HII
| Ben Pol na Maua Sama wakipagawisha wakazi wa jiji la Mwanza katika Tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jumapili katika viwanja vya CCM Kirumba. |
| Ommy Dimpoz akiburudisha wakazi wa jiji la Mwanza katika vviwanja via Tigo Fiesta mapema jana katika vviwanja vya CCM kirumba usiku wa kuamkia jumapili. |
| Alikba na Ommy dimpoz wakilishambulia jukwaa la Tigo fiesta mapema usiku wa jana katika vviwanja vya CCM kirumba |
| GNAKO na JUX wakiwaburudisha maelfu ya wakazi wa Mwanza katika Tamasha la Tigo Fiesta. |
| Lulu DIVA akiwa na wacheza shoo wake wakitoa burudani ya kukata na shoka. |
| NanDy akiimba kwa hisia katika jukwaa la Tigo Fiesta mapema jana katika viwanja via CCM kirumba. |
| Maua Sama naye akilishambulia jukwaa la Tigo fiesta |
| Msanii wa bongo fleva Rayvanny akiwapa burudani wapenzi wa muziki kwenye tamasha la Tigo Fiesta katika uwanja wa CCM kirumba jijini Mwanza usiku wa kuamkia Jumapili. |
| Rosa Ree akipagawawisha maelfu ya wakazi wa Jiji la Mwanza. |