Polisi wanamshikilia Mkurugenzi wa Kituo cha Utetezi wa Haki za Binadamu Tanzania ‘THRDC’ Onesmo Olengurumwa na kuzuia uzinduzi wa Kitabu cha Watetezi wa Haki Vyuoni kilichoandikwa na Alphonce Lusako.
Tukio hilo limetokea katika ukumbi wa Blue Pearl Hotel Ubungo Dar es Salaam ambapo millardayo.com inaendelea kufuatilia kwa karibu zaidi.
BOSI WA HAKI ZA BINADAMU NCHINI,AKAMATWA NA POLISI,SOMA HAPO KUJUA
Reviewed by Unknown
on
18:51:00
Rating: 5