Zinazobamba

WAZIRI NAPE AFUNGUKA HAYA,BAADA YA RC MAKONDA KUINGIA NA ASKARI WENYE BUNDUKI CLAUDS MEDIA,SOMA HAPO KUJUA

Baada ya kusambaa kwa video mitandaoni ikiaminika ni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda akiingia Clouds Media akiwa na askari, Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo, Nape Nnauye kupitia account yake ya twitter ameyaandika haya……


“Kesho asubuhi kama Waziri Mwenye dhamana na HABARI nitatembelea CloudsMedia kujua kilichotokea.Nawaomba sana wanahabari nchini KUTULIA kwasasa”