Zinazobamba

UMOJA WA WANAWAKE NIT WAZINDULIWA RASMI; PROFESA MGANILWA AKUBALI OMBI LA KUWA MLEZI


MKUU WA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT) PROF ZACHARIA MGANILWA AKIPOKEA ZAWADI KUTOKA KWA MAKAMU MKUU WA CHUO MIPANGO, FEDHA NA UTAWALA DKT ETHEL KASEMBE KATIKA SHEREHE ZA UZINDUZI WA UMOJA WANAWAKE NIT (UWANIT) JIJINI DAR ES SALAAM. KATIKA UZINDUZI HUO PROF MGANILWA AMEKUBALI OMBI LA KUWA MLEZI WA UMOJA HUO.
MWENYEKITI WA UMOJA WA WANAWAKE NIT (UWANIT) BI  JOYCE BAKARI MPUNGA(ALIYESHIKA KIPAZA SAUTI)AKIFAFANUA JAMBO KWA WADAU WALIOSHIRIKI SHEREHE HIZO.

MAKAMU MKUU WA CHUO MIPANGO FEDHA NA UTAWALA DKT ETHEL KASEMBE AKITOA ZAWADI KWA MKE WA MKUU WA CHUO DKT ZACHARIA MGANILWA.




WAKATI WA KUPUNGUZA STRESS: BAADHI YA WASHIRIKI KATIKA SHEREHE HIZO WAKIBURUDIKA BAADA YA UZINDUZI RASMI WA UMOJA HUO