RITA SASA KUZIFUTA BODI ZA UDHAMINI ZENYE MAKOSA,WAZIRI MWAKYEMBE ATOA NENO,SOMA HAPO KUJUA
|
Waziri wa Katiba na sheria Dkt.Harrison Mwakyembe
akizungumza na waandishi wa habari
hawapo pichani katika mkutano wa kupokea ripoti ya ukaguzi kutoka kwa Taasisi zote zinazofanya
usajili wa asasi za kiraia leo jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Naibu Katibu
Mkuu wa Wizara ya
Katiba na Sheria Amon Mpanju. |
Sehemu ya waandishi wa habari kutoka vyombo
mbalimbali wakiwa katika mkutano huo leo jijini Dar es Salaam
SERIKALI imesema itaendelea
kuzikagua bodi za udhamini zilizochini ya taasisi ya wakala wa ufilisi
na udhamini (RITA)ilikuzibaini taasisi hewa na zile zilizosajiliwa
Kisheria na bodi hiyo.
Akizungumza na waandishi wa Habari katika kikiao hicho kilichofanyika jijini Dar es salaam Waziri wa katiba na Sheria nchini Dk.Harrison Mwakyembe amesema kuwa ukaguzi huo wa bodi yaudhamini unalenga kuzitambua taasisi zinazotambulika na Rita .
''Tunataka tubakie na asasi za kiraia zilizo sajiliwa ambazo zinatambulika kisheria ambapo ninimelezwa kuwa kunataasisi ambazo ahazikufuata utaratibu wa usajili hivyo basi ninazitaka asasisi za kiraia zilizosajiliwa na zinazo tambulika tu ''Amesema Waziri wa Katiba na sheria Dk.Harrison Mwakyembe .

KATIKA hatua nyingine Msajili wa asasi zakiraia nakidini katika wakala wa ufilisi na udhamini (RITA) Mery Komba amsema kuwa katika taarifa bodi yawadhamini takribani bodi za wadhamini 1944 kati ya 5262zilizowasilisha tarifa zao kwa njia ya barua pepe na zingine kwakuwasili ofisini .
Alisema kuwa katika majalada yaliyo chambuliwa 5262 kati ya majalada 4287 yalichambuliwa nakuwekwa kwenye kanzi data ambapo bodi za wadhamini mini 500 zilikuwa mfu .
''KATIKA tangazo liliotolewa mei 17 mwaka huu kwenye gazeti la serikali la daily NEWS na mwananchi kwa muda wasiku 30 jumla 200 kati taasisihizo ni20 tu ndizo ziliweza kutekeleza agizo huku taasisi 180 zilibainika kutekeleza wajibu wake ''Alisema Mery Komba .
Gega Nancy
Alisema pamoja nahatua hiyo pia taasisi hiyo imeandaa mpango mkakati wakuzifutia taasisi 320 agizo hilo linatarajiwa kutekelezwa mwishoni mwamwezi agost mwaka huu.