Zinazobamba

VIONGOZI WA SHIRIKISHO LA VYUO VIKUU VYA ELIMU YA JUU NCHINI (TAHLISO) WAKUTANA DAR ES SALAAM KUJADILI CHANGAMOTO ZA WANACHUO NCHINI.



Mlezi wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu nchini (TAHLISO), Noves Katabaro,akizungumza na marais wa vyuo mbalimbali nchini katika mkutano uliokuwa unajadili maendeleo na hatma ya vyuo vikuu nchini katika changamoto wanazokumbana nazo wanachuo hasa katika kipindi cha kupata mikopo na huduma nyinginezo,mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa chuo cha ustawi wa jamii,Bamaga,Mwenge,jijini ad res Salaam jana. Kulia ni Mwenyekiti wa tahliso nchini,Stanslaus Peter,Makamu mwenyekiti tahliso na Rais wa chuo cha utawala wa umma Zanzibar,Juma Ali Omar na Mwenyekiti baraza kuu tahliso,Boniphace Maiga. Picha zote na Elisa Shunda


  Marais wa vyuo mbalimbali wakiwa kwenye mkutano huo wakimsikiliza mlezi wa shirikisho hilo,Noves Katabaro (hayupo pichani) wakati akifungua mkutano huo


 Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu nchini (TAHLISO) nchini,Stanslaus Peter,akizungumza katika mkutano huo baada ya kumtambulisha mlezi wa shirikisho hilo

  Marais wa vyuo mbalimbali wakiwa kwenye mkutano huo wakimsikiliza mlezi wa shirikisho hilo,Noves Katabaro (hayupo pichani) wakati akifungua mkutano huo





 Mlezi wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu nchini (TAHLISO), Noves Katabaro, akisindikizwa na  Mwenyekiti wa Tahliso nchini,Stanslaus Peter, (kulia) baada ya kumaliza kuzungumza na wajumbe na marais wa vyuo mbalimbali nchini

 Mlezi wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu nchini (TAHLISO), Noves Katabaro, akifanya mahojiano na waandishi wa habari, baada ya kumaliza mkutano na wajumbe na marais wa vyuo mbalimbali nchini. Katikati ni Mwenyekiti wa Tahliso nchini,Stanslaus Peter.
 
  Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu nchini (TAHLISO) nchini,Stanslaus Peter,akizungumza na waandishi wa habari kuhusu lengo la mkutano huo wa marais wa vyuo mbalimbali nchini ambao ulikuwa unajadili changamoto wanazokumbana nazo wanachuo tanzania hususani katika suala la kupata mikopo.Pembeni yake ni Rais wa Chuo cha Biashara (CBE) Kanda ya Ziwa,Manusura Lusigaliye.

 Mwenyekiti wa baraza kuu la tahliso,Boniphace Maiga (katikati) akibadilishana mawazo na wajumbe wa mkutano huo.
 Makamu mwenyekiti na Rais wa Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar (IPA),Juma Ali Omar (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa mkutano huo.


Mlezi wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu nchini (TAHLISO), Noves Katabaro (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na marais wa vyuo mbalimbali nchini baada ya mkutano huo uliokuwa unajadili changamoto mbalimbali wanazokumbana nazo wanachuo hasa katika suala la kupata mikopo.

Hakuna maoni