Zinazobamba

MFUKO WA UTT MFI WAJA NA KITU BORA KWA WATANZANIA KUHUSU BIMA YA AFYA,SOMA HAPO KUJUA


Pichani ni Mkurugenzi wa mfuko wa (UTT MFTI),James Washima leo jijini Dar es Salaam akizungumza na mkutano na waandishi wa habari,hawapo pichani alipokuwa akizindua huduma mpya ya bima ya pamoja,
 

MFUKO wa UTT microfinance Plc (UTT MFTI) kwa kushirikiana na  taasisi ya bima ya  Jubilee Insurance Company of Tanzania limited  pamoja na bima kampuni ya bima ya   Britam  ambayo zamani iliikuwa Real Insurance wamezindua mfuko wa “Pamoja Bima” kwa aajili ya kujakinga vyombo  vya moto pamoja na nyumba.Aaandika KAROLI VINSENT endelea nayo.
Akitangaza uzinduzi wa huduma hiyo,Mkurugenzi wa mfuko wa (UTT MFTI),James Washima leo jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano na waandishi wa habari,amesema katika kuwaokoa watanzania kwenye majanga mbali mbali ikiwemo majanga ya magari na majanga ya moto na mali zao,wamefikia hatua ya kuanzisha  huduma hiyo yenye lengo la kuwasaidia watu wenye kipato cha chini kujiuunga.
“Tumeuungana taasisi nne,kwa lengo la kuwasaidia watanzania katika kupata bima na mikopo,ili kujikinga na majanga ya moto ambayo yanaweza kutokea kwenye Nyumba zao pamoja na mali zao,tumefikia hatua hiyo  baada ya kuona watanzania hawana fedha za haraka za kulipia kwa haraka bima kwa sababu bima zilizopo nchini ni kubwa”amesema Washima,
Washima  Amesema Huduma hiyo itawawezesha kukata bima hata kwa mkopo kwenye mifuko hiyo na kuwawezesha kulipa kidogodogo jambo analodai litawawezesha kunufaika na usalama wa mali zao,
Pichani ni mkurugenzi wa Britam Insurance,Stephen Lokonyo akizungumza na waandishi wahabari

Kwa upande wake  mkurungezi wa Britam Insurance amewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi katika kujiunga kwenye huduma hiyo,ili iweze kuwaokoa na majamnga mbali mbali ambayo anasema yanaweza kutokea pale  mali zao zitakapopata matatizo.
.


Hakuna maoni