Zinazobamba

MBUNGE NASSARI KAMA ZITTO KABWE SHUHUDIA ALICHOKIFANYA JIMBONI KWAKE,SOMA HAPO KUJUA



 


MBUNGE NASSARI atoa Mil.45 kwenye pesa ya gari la Mbunge, ambazo kila mbunge anapewa mil.90, lakini yeye katoa mil.45 ili zisaidie kununulia dawa na vifaa tiba Hospitali ya Meru. Ameenda mbali na kusema yeye atatembelea gari la kawaida

Hakuna maoni