Zinazobamba

Mgombea Mwenza Wa UKAWA, Mh. Juma Duni Haji Apewa Barua Ya Onyo Kali Na NEC Kwa Tuhuma Za Kusema Uongo













Maoni 1

Bila jina alisema ...

TATIZO HAPA NI NINI? KAMA NI KUSEMA UONGO BASI CCM NDIYE KINARA WA KUSEMA UONGO.HAPA NINACHOKIGUNDUA NI KWAMBA HII BARUA NI PSYCHOLOGICAL SYNDICATE INAYOTENGENEZWA NA KAILIMA ILI KUPUNGUZA KASI YA USHIRIKI WA MGOMBEA MWENZA WA CHADEMA-UKAWA.LAKINI TUKIANZIA KESHO JUMATATU ZITAKUA ZIMESALIA SIKU SITA TUU KUFIKIA TAREHE 25 OCTOBA 2015 SIKU YA KUPIGA KURA.KAWAIDA,KWA TARATIBU NA MIENENDO YA KAMPENI UONGO HUA UNAKANUSHWA KWA KUONGEA UKWELI.SASA KAILIMA UKWELI ULIONAO KITAKWIMU UPO WAPI?UKITUMIA GILBA ZA KUTUMIKA KISIASA RAIA WA NCHI AMBAO LEO WAPO MAKINI SANA WATAKUGUNDUA TUU,NA WAMEKUGUNDUA KAILIMA,UNATUMIKA.