KWA KASI HII MEMBE HAKUNA WA KUMKAMATA, AUNGWA MKONO NA WENGI.

Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe
(kulia) akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wa Mkoa
wa Kilimanjaro, waliofika katika Ofisi ya CCM ya wilaya ya Moshi Mjini
Juni 17.2015, kwa ajili ya kumdhamini iliaweze kuwania urais katika
uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata
wadhamini zaidi ya 1,250. Picha zote na John Badi

Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe
(kulia) akikabidhiwa na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya
Moshi mjini, Ole Nesele fomu zilizotiwa saini na wanachama wa CCM,
Ofisini hapo Juni 17.2015, kwa ajili kumdhamini ili aweze kuwania urais
katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza
kupata wadhamini zaidi ya 1,250.
Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe
(mwenye miwani) akicheza ngoma iliyokuwa ikitumbuizwa na Akinamama wa
CCM wakati alipofika katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ya mkoa
wa Kilimanjaro Juni 17.2015, kutafuta wadhamini ili aweze kuwania urais
katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza
kupata wadhamini zaidi ya 1,250.
Sehemu ya umati wa wanachama wa
Chama Cha Mapinduzi ukimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe nje ya Ofisi za
CCM wa Mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi Juni 17.2015, wakati alipofika
kuomba udhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa
tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1,250.
Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe
akiwaaga wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Kilimanjaro,
waliofika katika Ofisi ya CCM ya wilaya ya Moshi Mjini Juni 17.2015, kwa
ajili ya kumdhamini iliaweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao
kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya
1,250.
Umati wa wanachama wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) wakilisindikiza gari lililombeba Waziri wa Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe,
wakati likitoka nje ya Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi Juni
17.2015, baada ya kumaliza heka heka za kutafuta wadhamini kwa ajili ya
kumdhamini iliaweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi
ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1,250.
Kundi la madereva wa Bodaboda
wakiwa tayari nje ya Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa
Kilimanjaro mjini Moshi Juni 17.2015, wakisubiri kumsindikiza Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama,
Bernard Membe, baada ya kumaliza heka heka za kutafuta wadhamini kwa
ajili ya kumdhamini iliaweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao
kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya
1,250.
Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe
(kulia) akiwasalimia wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),
waliofurika nje ya Ofisi ya CCM ya Mkoa wa Kilimanjaro, Mjini Moshi Juni
17.2015, kwa ajili ya kumdhamini ili aweze kuwania urais katika
uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata
wadhamini zaidi ya 1,250.

No comments
Post a Comment