Zinazobamba

DOKTA SLAA NI MBELE KWA MBELE,AFANYA ZIARA YA KIJIJI KWA KIJIJI,TIZAMA HAPO

 




Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dk. Willibroad Slaa akiwahutubia maelfu ya wananchi wa Mpanda, mkoani Katavi uliofanyika katika Uwanja wa Kashaulili baada ya kuwasili mkoani humo akitokea Mkoa wa Rukwa na Mbeya, ambako amepita katika maeneo mbalimbali akikagua zoezi la uandikishaji wapiga kura kwa BVR, akitumia mikutano ya hadhara kuhamasisha wananchi wenye sifa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, huku pia akikagua maandalizi ya chama kinavyojipanga kueleka mwezi Oktoba.


Hakuna maoni