Zinazobamba

GULAMALI AWATAKA CHADEMA WAJIPIME, ASEMA WASIPOANGALIA CHADEMA KWISHAA KABISAAA


  •  Chadema ni genge la wahuni ambao wapo kwa maslahi yao.ile ni taasisi ambayo imefikia hatua kila mmoja anahaki ya kuingia na kutoka pia sasa inapofikia bado wanajifanya kama kikundi hapo ni 0
    Taasisi inapokuwa kila kitu kinabidi kiwe wazi
  • Selemani Ahamadi
    Selemani Ahamadi
    naweza kuchapisha maneno yako, nahitaji koment ya ukweli kiongozi wa tabora tunayoitaka, pengine kwa upande wako unaona ni wapi wapi mambo hajaenda vizuri , na kivipi
    wafanye nini ili waweze kukaa sawa
  • Seif Khamis Gulamali
    Seif Khamis Gulamali
    Ok sawa kaka walipokosea ni pale walipochukua hatua ambayo haikustahili kuchukuliwa na viongozi wa kamati kuu.kwanza walipaswa kuchukua tahadhari kabla ya hukumu ile na pia kitendo cha kamati kuu kwenda kwenye vyombo vya habari na kutangaza lile lilikuwa kosa lingine.
  • Seif Khamis Gulamali
    Seif Khamis Gulamali
    Sasa baada ya hapo wakaanza vita kupitia media na kama ujuavyo media siku zote huchokonoa habari za kila upande ili iweze kuwatangazia watanzania na kama ujuaavyo haabari huenea haraka sana hapo kinachotokea ni kukigawa chama kwa wanachama na wapenzi na ndivyo ilivyotokea na kupelekea sasa kila leo kuibuka kwa matamko ambayo yanakivuruga chama kila leo na hatima yake ni kupoteza mvuto kwa watanzania na kuonekana kama si watu wakweli katika kuwatetea bali wanawahadaa
  • Selemani Ahamadi
    Selemani Ahamadi
    Swali moja la kizushi; ingekuwa ww ndo chair na unaona katibu wako anapanga mipango ya kubomoachama huko tabora ungechukua hatua gani
  • Seif Khamis Gulamali
    Seif Khamis Gulamali
    Wafanye nini ili waweze kukaaa sawa hapo naweza kutoa ushaur wa bure kwa chadema ni kwamba viongozi woote wanatuhumiana ni kukaa kando woote na kupisha viongozi wengine ndani ya chama na kugombea nafasi hizo ili tupate viongozi safi ambao wataisukuma chadema mbele.vinginevyo kati ya hao mmoja wao akibaki pia ni madhara kwa chama si mbowe wala zito ambao wataweza kuiponya hali ya hrwa iliyopo chadema sasa
  • Seif Khamis Gulamali
    Seif Khamis Gulamali
    Kwanza kwa swali lako haliendani na matukio yaliyopo chadema kwa sasa kwani zito si katibu wa chama bali ni naibu katibu.lakini kwa zito alikuwa habomoi chama bali alikuwa anataka chadema yenye nguvu zaidi ya ilivyo sasa na si zito alikuwa na mpango huo bali alikuwa akitengeneza mazingira ya kutaka kuja chair wa chama sasa hapo ni vita ya ndani ya chama yenye lengo la kupata madaraka na si zaid ya hapo sasa ule upande ulivyoona umeziwa ukaja na ajenda ya kuwaona wenzao wanataka kusaliti chama kwa kulinda nafasi zao zisipotee ndicho kilichopo chadema
  • Selemani Ahamadi
    Selemani Ahamadi
    Kaka wadau wanasema zote unazosema ni point tupu; swali lingine lepesi ; watu wanasema vita vys psnzi ni nderemo kwa kunguru wewe kama mwasiasa unayekuja kwa kasi unaweza kusema nni katika hilo
  • Seif Khamis Gulamali
    Seif Khamis Gulamali
    Angalia mfano mdogo ndani ya ccm 2005 alikuwa philp mangula 2006 akapewa makamba baada ya uchaguzi chama kikajitathmini kikaja na hoja kuwa kamati kuu imepwaya ikavunjwa ikaundwa upya 2011 akapewa wilson mukama na nape baada ya mwaka 1 yaani mwaka jana tukaona haijakaa sawa akatolewa akapewa kinana na nape na unaona inavyokuja kwa kasi ya hatari kiasi kwamba chadema wanaweweseka kuhusu mvurugano wao
  • Seif Khamis Gulamali
    Seif Khamis Gulamali
    Si kwamba tunafurahia hapana pia tunakosa vyama vya siasa makini vyenye kuleta ushindani wa kweli ndani nchi na hii inapelekea wananchi kuaamini kuwa vyama pinzani vyoote ni vibaraka wa ccm.kwanini ni kwa sababu wanakosa ueledi katika kukabiliana na changamoto zao ndani ya vyaama vyao.changamoto zilizoko chadema si kwamba ccm haziko au vyama vingine hakuna ila kinachotakiwa ni kukomaa kwa siasa ndani ya chama angalia ccm Lowassa.Membe na sitta baada ya kuonekana wanagombana nini mwenyekiti alichofanya ni kywaondoa woote kamati kuu sasa hata chadema ili kipone ni kuwaondoa woote wale wenye mvutano ili chama kipone otherwise ndo kwaher hivo chadema

No comments