YALIYOJIRI LEO KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA MAMLAKA YA MAWASILIANO(TCRA) JIJINI DAR
Ndugu Mlaki akiwa anafungua Mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 10 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania.
Baadhi
ya wadau mbalimbali katika secta ya Mawasiliano Tanzania wakiwa katika
Maadhimisho ya Miaka 10 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania
Waendesha mada wakiwa mezani Kutoka kushoto ni Bi. Elizabeth Nzagi,
Ndugu. Haruni Lemanya , Aliyeshika Microphone no Ndugu. Mlaki ambaye
ndiye Mwendeshaji wa Mkutano, Injinia James Kilaba na Albert Richard .
Wadau mbalimbali wa mawasiliano Tanzania pamoja na Secta nyengine
mbalimbali wakiwa wanafuatilia kwa umakini mada zinazo endelea
Bi. Elizabeth Nzagi akizungumzia Mada juu ya sheria na mambo muhimu katika mawasiliano.
Injinia James Kilaba akizungumzia juu ya mafanikio ya Mamlaka ya
Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuanzia mwanzo mpaka kufikia Miaka 10.
Mkurugenzi wa Mambo ya Posta Tanzania Bi.Makubuli akizungumzia jambo juu ya maendeleo ya Posta.
Ndugu Haruni Lemanya akizungumzia maswala mbalimbali ya Posta ikiwa ni
pamoja na maendeleo ya hali ya juu ambayo yamefanywa na posta, mfano
kuanzisha utaratibu wa kuweka sanduku la posta kila nyumba.
Ndugu Albert Richard akizungumzia juu ya nguvu ya Mabadiliko ya
Sayansi na Teknorojia katika kukuza uchumi wa Tanzania ikiwa ni Mijini
na Vijijini
No comments
Post a Comment