MJUMBE
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba nchini
na mhadhiri mwandamzi wa Sheria wa Chuo Kikuu cha Bagamayo (UB), Dk.
Sengondo Mvungi, akiwa katika hospitali ya Moi baada ya kuvamiwa na
watu wasiojulikana wanatuhumiwa kama majambazi walivamia nyumbani kwake
mida ya saa sita na nusu usiku wa kuamkia leo huko nyumbani kwake
Kibamba Msakuzi nje kidogo ya jiji la Dar es salaa katika wilaya ya
kinondoni.
Kwa mujibu ya mtoto wa kaka yake dr mvungi Deogratius Mwarabu
amesema watu hao jumla yao walikuwa sita wanne walingia ndani kwa
kutumia jiwe kuvunja mlango na kumtishia mfanyakazi kama watamuua kama
hajuii fedha ziko wapi na kuingia ndani na kuanza
kumcharanga mapanga maeneo ya mwilini mwake ikiwemo sehemu za kichwani kwa
madai kuwa watu hao wanaosadikiwa kuwa ni majambazi walikuwa wakimshinikiza
awapatie fedha na Dk. Mvungi alipowaambia hana fedha ndipo walipoanza kumcharanga
mapanga.
Picha hizi hapa akiwa katika hospitali ya moi huku akisaidiwa na wauguzi na waganga leo
|
AKIWA NA MANESI WAKIMSAIDIA |
|
DAKITARI AKIMSAIDIA |
|
MANESI NA DAKITARI WAKIMSAIDIA |
Hakuna maoni
Chapisha Maoni