Zinazobamba

MAMA SALMA KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI WA KIMILA, AWATAKA KUFAHAMU KUWA UKIMWI BADO UPO NA NI JANGA LA KITAIFA, HABARI KAMILI SOMA HAPA

Mmama salma kikwete leo hii amefanikiwa kukutana na viongozi wa jamii ya kimasai na kimagn'ati na kuzungumza nao juu ya suala zima la afya ya uzazi na maambukizi ya ukonjwa wa ukimwi nakubainisha kuwa kuwa ukmwi bado janga la kitaifa, 
MAMA SALMA KIKWETE AKIFUNGUA WARSHA KWA JAMII YA WAFUGAJI,

Akifungua warsha ya viongozi hao wa jamii ya kimasai na kimang'ati, Salma amesema bado kunahaja ya kuendeleza kutoa elimu kwa vijana wetu katika jamii hiyo ya wafugaji ili waendelee kufahamu kwa namna gani ukimwi unaisumbua taifa kwa ujumla 



Jamii ya kimasai wakicheza katika warsha hiyo

Hakuna maoni