Zinazobamba

RAIS SAMIA AWASILI KILIMANJARO KUSHIRIKI MAZISHI YA HAYATI MSUYA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kwa ajili ya kushiriki Mazishi ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mzee Cleopa David Msuya  yatakayofanyika Kesho (13 Mei, 2025) Kijijini kwake Wilaya ya Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro.



No comments