SAADY KHIMJI ARUDISHA TABASAMU MADRASA NUR QIM.
Diwani waKata ya Ilala Mhe.Saady Khimji amerudisha Tabasamu kwakutoa msaada Wa mashaf 10 majuzuu 50 na Vitabu 60 Katika madrasa ya Nur qim.
Msaada huo umetolewa na Saidi Dogo Pamoja na Tatu Hassan Katibu wa Ccm tawi la kasulu wakimwakilisha Mhe.Diwani Saady Khimji ambaye alishindwa Kufika Eneo la tukio Kutokana nakutokuwa vizuri Kiafya ( anaumwa) Leo Tarehe 27/4/2025, Naumepokelewa na sheikh muhidini shabani.Sheikh Muhidini shabani amemshukuru sana Mhe.diwani Kwaupendo aliouonesha Kwa wanafunzi wake wakuwapatia msaada Wa vitu Hivyo Kwasababu vitawasaidia sana wanafunzi wake.
No comments
Post a Comment