TECNO YAZINDUA BODA LA SPARK 3
Kampuni ya simu ya TECNO mobile
inawakaribisha wateja wake kununua simu mpya iliyozinduliwa hivi karibuni aina
ya TECNO SPARK 3 na kujishindia
zawadi kemkem ikiwemo pikipiki mpya.
Promotion hiyo iliyopewa jina la
boda la spark 3 inaanza kwa mkoa wa dar es salaam kisha kuenea mikoa mingine
hapo baadae, mteja atakaenunua TECNO spark 3 kwenye maduka maalumu ya TECNO yenye
promotion hiyo atapewa nafasi ya
kuondoka na zawadi za papo kwa papo kama
power bank yenye mAh 5000 na pamoja
data cable,
TECNO Spark 3 ni simu ya kijanja
yenye uwezo mkubwa wa kupiga picha pamoja na kufanya vitu mbali mbali
mitandaoni imezinduliwa takribani mwezi
mmoja ikiwa ndio simu inayofanya vizuri zaidi kwa upande wa simu janja za
kipato cha kati.
TECNO SPARK 3 ina ubora wa kamera
yenye megapixel 13, huku mtumiaji anapata nafasi ya kuifadhi vitu vyake kwenye
GB 16 za memory ya ndani na muonekano wake ni wakijanja na ndio
maana inafanya vizuri sokoni,
Angalia zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=dIErOrhsOik
Mshindi wa pikipiki atapatikana
mwisho wa mwezi wa sita kwa njia ya bahati nasibu itakayo chezeshwa live
kupitia mitandao ya kijamii ya TECNO mobile hasa Instagram
Fiika maduka ya TECNO yafuatayo
ili kushinda zawadi kemkem unaponunua
simu hii ya SPARK 3, TECNO exclusive mobimart , TECNO exclusive mashreq, TECNO
excuslive inorbit, TECNO exclusive hyatt, TECNO smart hub china plaza, maduka
haya yanapatikana msimbazi kariako na mtaa wa agrey lakin kwa upande wa mtaa sa samora posta lipo
duka TECNO Experience centre huku upande
wa mlimani Duka la TECNO smart hub,
Hakuna maoni
Chapisha Maoni