Video: MAISHA YA DEREVA WA HAYATI BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE YANASIKITISHA
TIZAMA VIDEO HIYO HAPO CHINI.
HUKU ikiwa Bado Serikali iliyopo Madarakani ikisema bado inamuezi,Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julias Nyerere kwa vitendo,Lakini hali ya kushangaa Aliyekuwa Dereva wa Mwalimu Nyerere ameibuka na kusema Maisha yake anayoishi ni shida sana.
Amesema licha ya kufanya kazi hiyo kubwa kwa Mhasisi huyo wa Taifa lakini bado serikali imemtelekeza.