WAZIRI NAPE AFUNGUKA HAYA,BAADA YA RC MAKONDA KUINGIA NA ASKARI WENYE BUNDUKI CLAUDS MEDIA,SOMA HAPO KUJUA
Baada ya kusambaa
kwa video mitandaoni ikiaminika ni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul
Makonda akiingia Clouds Media akiwa na askari, Waziri wa habari,
utamaduni, sanaa na michezo, Nape Nnauye kupitia account yake ya twitter
ameyaandika haya……
“Kesho
asubuhi kama Waziri Mwenye dhamana na HABARI nitatembelea CloudsMedia
kujua kilichotokea.Nawaomba sana wanahabari nchini KUTULIA kwasasa”