ZITTO KABWE AZIDI KULILIA HURUMA KWA WANANCHI WAKE-NI BAADA YA KUFUKUZWA CHADEMA,TIZAMA HAPA
Vijana wa Kigoma wakiwa na bango wakimsubiri Mhe. Zitto Kabwe "Mirumbani" alipokwenda jimboni huko kutoa Ahsante kwa kumchagua kuwa mbunge wao kwa vipindi viwili
Mhe. Zitto Kabwe "Mirumbani" alipokwenda jimboni huko kutoa Ahsante kwa kumchagua kuwa mbunge wao kwa vipindi viwili
Mhe. Zitto Kabwe "Mirumbani" akitoa Ahsante kwa wananchi wa jimboni kwake kwa kumchagua kuwa mbunge wao kwa vipindi viwili
Mhe. Zitto Kabwe "Mirumbani" akiwa amebebwa na wananchi wa jimboni kwake alipokwenda kuwashukuru kwa kumchagua kuwa mbunge wao kwa vipindi viwili
Mhe. Zitto Kabwe "Mirumbani" akicheza ngoma na wananchi wa jimboni kwake alipokwenda kuwashukuru kwa kumchagua kuwa mbunge wao kwa vipindi viwili
Mhe. Zitto Kabwe "Mirumbani" akihutubia wananchi wa jimboni kwake alipokwenda kuwashukuru kwa kumchagua kuwa mbunge wao kwa vipindi viwili
Mhe. Zitto Kabwe "Mirumbani" akikabidhi gari la wagonjwa katika kituo cha Afya cha kijiji cha Nyarubanda jimboni kwake alipokwenda kuwashukuru kwa kumchagua kuwa mbunge wao kwa vipindi viwili
Hakuna maoni
Chapisha Maoni