MAGAZETI YA MENGI YATIA FORA KWENYE TUZO ZA WANAHABARI SOMA HAPA KUJUA
VYOMBO vya
Habari vinavyomilikiwa na kampuni ya (IPP Media)vimetia fora kwenye Tuzo za
Umahiri wa Uandishi wa Habari nchi baada ya vyombo hivyo kutoa waandishi wengi
katika tuzo hizo.Anaandika KAROLI VINSENT endelea nayo.
Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es
Salaam na Katibu mtendaji na mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya tuzo za
uandishi wa Habari mwaka huu Kajubi d Mukajanga wakati wa mkutano na vyombo
mbalimbali vya Habari ambapo amesema katika tuzo za mwaka katika waandishi
waliopeleka kazi walizofanya ili zishindaniwe na baadae kutangazwa mshindi
vyomba vya habari vya (IPP Media) vimekuwa kinala.
Bwana Mwakajanga alivitaja vyombo hivyo
vya ni Gazeti la kingereza la The Guardian ambapo waandishi wake wamepelea kazi
zazo kuhindaniwa ni 137 na kufuatiwa na Gazeti la mwananchi ambao nao waandishi
wake wamepeleka kazi 87.
Mbali na Mwananchi chombo kingine cha
Habari kilichopeleka kazi nyingi ni Afya Redio nayo pia waandishi wake
wamepeleka kazi nyingi zikiwa 68.
Aidha,Mwakajanga
amesema kwa sasa hatua iliyobaki ni kwa majaji wa walioteuliwa na kamati hiyo
ili kuzipitia na kuchaguliwa mshindi
ambaye atangazwa kwenye hafla fupi hivi karibuni
No comments
Post a Comment