WAZIRI MUHONGO NI KIBURI,HICHI NDICHO ALICHOKISEMA KUHUSU KUJIUZULU KWAKE, SOMA HAPA KUJUA
Pichani ni Waziri wa Nisharti na Madini Sospeter Muhongo Picha na maktaba |
bali ardhi ya Tanzania itatikisika, kwa sababu anazo data za uhakika kuonyesha hili swala la IPTL ni mpango uliosukwa na madalali walionyimwa vitalu vya gesi na wale walivuliwa uwakilishi wa tanesco kisheria
Update:
Baada ya kutaarifiwa kwamba kauli yake imewekwa kwenye mitandao ya kijaamii. Waziri Muhongo amepandwa na jadhba na kudai kwamba, kama kuna mtu mwenye ushahidi wa fedha za IPTL kuwa za umma basi alete ushahidi.
Amechoshwa na vijana wala rushwa, wanaoongwa magari kuzusha mambo. Amedai kwamba Wakili Msando alielezee umma kwamba zile hela ambazo amekuwa akisign kila mara amekuwa akizi sign kwa niaba ya nani kama siyo kwa niaba ya hao wanajifanya kupigia kelele ufisadi?
Hakuna maoni
Chapisha Maoni