MASIKINI JOHN CHEYO,UKAWA YAMMALIZA RASMI KISIASA,ATEGEMEA HURUMA YA CCM,SOMA HAPA KUJUA
UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
UMEPELEKA KILIO KWA CHAMA CHA MZEE JOHN CHEYO (UDP)
CHADEMA imebomoa ngome ya chama hicho na kuzoa viti vingi na wanachama wake. Huu hapa ni mfano. wilaya ya Bariadi vijijini mbayo ilikuwa ngome ya UDP tangu 1995.......
jumla ya vijiji ni 84....
CHADEMA 40
CCM 35
UDP 03
VIJIJI 02 UCHAGUZI BADO
VJIJI 04 MAT0KEO BADO mpaka vitongoji kadhaa vimalize uchaguzi
kwa matokeo hayo yanamaanisha mambo yafuatayo.............
1. Andrew Chenge ananafasi ndogo ya kurudi Bungeni endapo Chadema watasimamisha mgombea mzuri...
2. Chama cha UDP sio chama kikuu cha upinzani maeneo hayo.....
Jimboni kwa John Cheyo nako hali si shwali kwani Chadema imekomba viti vingi.

Hakuna maoni
Chapisha Maoni