Zinazobamba

MANISPAA YA KINONDONI YAJINO IPASAVYO,SOMA HAPA KUJUA

Timu ya mpira wa miguu jijini Dar es salaam ambayo inamilikiwa na halmashauri ya manispaa ya kinondoni ikiwa katika harakati za kujiandaa kuendelea kushiriki na mashindano ya ligi daraja la kwanza jijini Dar es salaam,imejipima nguvu na vinara wa ligi kuu Tanzania bara msimu huu MTIBWA sugar ya mkoani morogoro,mchezo uliofanyika katika uwanja wa karume jijini Dar es salaam,timu hiyo ambayo ni ya kwanza kumilikiwa na manispaa zinazopatikana jijini Dar es salaam jana ilikuwa katika kujipima nguvu kabla ya kuanza kwa michuano ya ligi daraja la kwanza ambapo ilishughudia timu hiyo ikimenyena vikali na timu hiyo na kuonyesha uwezo mkubwa mbele ya wababe wa soka hadi sasa wa ligi ya Tanzania MTIBWA SUGAR.Picha zote za mchezo huo ziko chini,mtibwa sugar ni hao waliovaa blue




Hakuna maoni