Zinazobamba

LOWASSA AZIDISHA UPENDO KWA MAASKOFU,HEBU TIZAMA ALICHOKIFANYA LEO,BOFYA HAPA


Waziri mkuu mstaafu  na mbunge wa Monduli Mh edward Lowassa akimjulia hali leo hii askofu mkuu Katoliki jimbo Kuu la Tabora Paul Ruzoka katika hospitali ya TMJ Mikocheni jijini Dar es salaam alikokwenda kufanyiwa vipimo kufuatia ajali aliyoipata Igunga Mkoani Tabora.Mwenye shati jeupe ni Bishop Gwajima.

Hakuna maoni