Maonyesho Makubwa ya Dhahabu Jijini Mbeya October 12
MC Edwin Luvanda Branding & Entertainment Company Ltd inakukaribisha Katika maonyesho makubwa ya Dhahabu ambayo hayajawahi kutokea jijini mbeya.
Maonyesho hayo yanatarajiwa kufanyika tarehe 12 October na kwenda sambamba na Usiku wa sherehe za utoaji wa tuzo kwa wadau maarufu wa madini nchini Octoba 14, 2024 katika hotel ya Omary city iliyopo jijini hapo.
Hakuna maoni
Chapisha Maoni