DC MAKONDA APANIA KWELI KULETA MAENDELEO WILAYA YA KINONDONI, AJA HICHI ,SOMA HAPO KUJUA
Pichani ni Mkuu wa wilaya ya Kinondoni,Paul Makonda akizungumza na Barozi wa Uingeleza nchini leo alipomtembelea kufanya mazungumza katika kuleta maendeleo katika wilaya hiyo |
NA KAROLI VINSENT
MKUU wa
wilaya ya Kinondoni,Paul Makonda akishirikiana na Barozi wa Uingeleza nchini,Dianna Melsrose wamezamilia katika kasi ya kuleta maendeleo ya pamoja katika Halmashauri hiyo.
Maendeleo hayo ikiwemo kujenga shule za kisasa za
sekondari ikiwemo kuzifunga mtandao wa internet shule hizo ili kuwasaidia wanafunzi katika kutatua tatizo la
uhaba wa vitabu,pamoja na kuzisaidia kata zaidi 30 katika halmashauri ya kinondoni
kwa kila kata kupewa Gari moj la kubebea wagonjwa.
Akizungumza na wanahabari leo Jijini Dar es
Salaam,mara baada ya kumalizika kikao kati yake na Barozi Melsrose.DC Makonda
amesema barozi huyo amekubali kuzisaidia wilaya yake kwa kuinua sekta ya elimu
ambayo amedai ni njia pekee ya kuleta mendeleo.
.“Kwa sasa Barozi amefurahishwa na hatua yangu
ninayofanya ya kuleta maendeleo katika wilaya yangu,kwa sasa ameamua
kushirikiana na mimi katika kutoa gari la wagonjwa kwenye kila kata,pamoja na
kuwakea mtandao wa internet kwa kila sekondari katika wilaya yangu ili iweze
kuwasaidia wanafunzi kujisome
Kwa upande wake Barozi wa wingeleza nchini,Dianna
Barozi wa Uingeleza nchini,Melsrose akimsikiliza,Paul Makonda
Melsrose,amesema amefurahishwa na ushirikiano aliouonyesha Makonda kwa nchi ya
wingeleza huku akimuhakikishia kumsadia katika kuleta maendelea katika wilaya
yake,huku akidai ni wilaya yenye watu wengi na inahitaji msaada wa haraka ili
iweze kupiga hatua.
Hakuna maoni
Chapisha Maoni