MSHIRIKA WA ZITTO KABWE ATAKA UBUNGE MOROGORO,BOFYA HAPO KUJUA
MWANAMUZIKI Suleiman Msindi, maarufu kama
Afande Sele amesema, atajitosa katika kinyang’anyiro cha ubunge katika jimbo la
Morogoro Mjini.
Ametoa kauli hiyo,
mkoani Ruvuma katika ziara ya kukitangaza cha kipya cha ACT – Wazalendo;
anataka kugombea ubunge katika jimbo hilo kwa sababu mbunge wake wa sasa,
ameshindwa kuleta maendeleo. Mwandishi Wetu kutoka Songea anaripoti … (endelea).
Jimbo la Morogoro
Mjini linashikiliwa na Aziz Aboud.
Aidha, Afande Sele amejigamba kuwa kama wananchi wa Morogoro
watampa nafasi ya kuwa mbunge wa jimbo hilo, basi ataibua mambo mengi ambayo
yalikuwa yamefichwa wa viongozi wa serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
No comments
Post a Comment