Zinazobamba

CHAMA CHA SIASA KIPYA CHAANZISHWA,CHAPEWA USAJILI LEO,NACHO CHAAPA KUINGUSHA CCM MWAKA HUU,BOFYA HAPA KUJUA

 Mwenyekiti  na Muasisi
wa Chama cha  Kijamaa na Uzalendo
Tanzania (CKUT),Ramadhani  Semtawa  akizungumza na waandishi wa habari mara baada
ya kupata usajili wa muda wa chama hicho uliyofanyika katika viwanja vya ofisi
ya msajili wa vyama vya siasa leo jijini Dar es Salaam,Kushoto ni katibu Mkuu
wa Chama hicho,Noel  Antapa
.

wa Chama hicho,Noel  Antapa.

Mwenyekiti  na Muasisi
wa Chama cha  kijamaa na uzalendo
Tanzania,Ramadhani  Semtawa  akiwa ameshika katiba ya chama hicho  na Kushoto
ni Katibu Mkuu wa Chama hicho Noel Antapa akiwa katika viwanja va ofisi
ya msajili wa vyama vya siasa leo jijini Dar es Salaam.PICHA NA EMMANUEL MASSAKA.
 
No comments