Zinazobamba

Exim Bank Tanzania yafuturisha Wateja Wake Mikoa Mbali Mbali

Exim Bank Tanzania corporate customers breaking their fast during an Iftar organized by the bank at Ramada Encore hotel as part of activities to grace the month of Ramadhan.

Meneja mwandamizi wa Exim Bank tawi la Zanzibar, Fred Umiro akizungumza na wateja wa benki hiyo baada ya futari maalum iliyoandaliwa na Exim Bank kwa wateja wao wa Zanzibar iliyofanyika katika hotel ya Zanzibar Beach Resort juzi.

Wateja wa benki ya Exim waliopo Tanga wakipata futari iliyoandaliwa na benki hiyo katika hoteli ya Tiffany Hotel jana.

Exim Bank Tanzania corporate customers breaking their fast during an Iftar organized by the bank at Ramada Encore hotel as part of activities to grace the month of Ramadhan.

Exim Bank Tanzania customers as they serve themselves during an Iftar function organized by the bank for its retail customers at Ramada Encore hotel in Dar es Salaam over the weekend.