Zinazobamba

SERIKALI YALIKOMALIA GAZETI LA MTANZANIA,LAILIMA BARUA KALI,SOMA HAPO KUJUA



WAKATI Rais Joh  Magufuli anatimiza Mwaka mmoja madarakani huku ni teyari serikali yake imeyafungia Magazeti ya Mawio,Mseto pamoja na vituo vya redio ya Magic Fm pamoja na Redio Five kwa madai vituo hivyo vimerusha  na kuandika taarifa za uchochezi.

Sasa Serikali hiyo imeibuka na kulionya Gazeti la Mtanzania kwa kile inachosema Gazeti hilo imeandika habari ya kumdhalilisha Rais Mstaafu wa awamu ya nne Jaka Kikwete
.

  TAMKO LAKE HILI HAPO