KITUO CHA TIC CHAJITOSA KUINUA MKOA WA MOROGORO KATIKA UWEKEZAJI,SOMA HAPO KUJUA
Pichani ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Clifford Tandari akifafanua jambo katika Mkutano huo na Waandishi wa habari |
Hayo yameelezwa jana Jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa kituo hicho Clifford Tandari wakati wa mkutano na waandishi wa habari, amesema kuwa kongamano hilo linatarajiwa kufanyika september 29 na 30 katika hoteli Glonency iliyopo katika mkoa wa morogoro .
''Kongamano hili linalenga kukuza sekta mbambali zaviwanda ,kilimo nausindikaji wa mazao ,nishati elimu na maji pamoja na ujenzi wa majengo na sekta nyinginezo ikiwemo chakula dawa na utafiti ,usafirishaji, fedha na biashara linatarajiwwa kuhudhuliwa na waziri Waviwanda nabiashara Charles Mwijage ''Alisema Mkurugenzi wa TIC Clifford Tandari .
Hata hivyo,Tandari alisema kongamano hilo litaisaidia kuuweka mkoa wa Morogoro kuwa mkoa wenye fursa mbalimbali ikiwemo kilimo nabiashara kwa makampuni yanje nandani kuja kuwekeza katikasekta hizo .
Amebainisha kuwa jumla yamiradi 198 imekuwa ikitelezwa katikamkoa huo ambapo miradi hiyo inatarajia kuzalisha ajira 28,944 ambapo miradi111 niyawatanzania huku miradi 46 ni yawageni kutoka nje