Zinazobamba

LOWASSA AENDELEZA MOYO WAKE WA UPENDO KWA WAISLAM,TIZAMA ALICHOFANYA LEO,BOFYA HAPO KUJUA




WAZIRI mkuu mstaafu Edward Lowassa  ambaye pia alikuwa mgombea wa Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema leo amemjulia hali  mufti wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry ambaye amelazwa katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es salaam.
 Hichi ndicho alichokiandika Lowassa kupitia mtandao kwenye mitandao ya kijamii mara baada ta kumjulia hali kiongozi huyo wa kiroho,
 Leo hii nikimjulia hali mufti wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry ambaye amelazwa katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es salaam,
Natanguliza maombi Mungu amsaidie kupona haraka ili arejee katika shughuli zake za kila siku”

Hakuna maoni